Wafanyabiashara Iringa walia kutozwa kodi mara mbili
Kwenye suala la kodi, wamesema mfanyabiashara anapovuna mti kwenye msitu wa Serikali wa Saohill, amekuwa akitozwa kodi ya halmashauri na baada ya kuachana mbao au kutengeneza nguzo, hutozwa tena...